WATEJA WA VODACOM KUZAWADIWA LUNINGA NA SH. MIL 11


Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Vodacom, Mwamvita Makamba (kushoto), akitangaza mbele ya waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu promosheni mpya ya Mega, ambapo mteja atakuwa anatuma ujumbe mfupi bure kwenda namba 15015 na kumpa fursa ya kushiriki shindano litakalowezesha wateja wawili kila mmoja kujishindia zawadi ya luninga ama sh. mil. 11 kwa siku. Kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano ya Wateja wa kampuni hiyo, Charity Safford.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA