AIRTEL RISING STARS KURINDIMA JUMAMOSI

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu ya Airtel, Jackson Mbando (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu maandalizi ya michuano ya Aitel Rising Stars, inayotarajia kuanza Jumamosi kwenye Uwanja wa Karume jijini.Kutoka kulia ni Ofisa Tawla wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Idd Mhsangama na OIfisa Habari wa TFF, Boniface Wambura. (NA MPIGAPICHA WETU)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA