ECOBANK NA MIKAKATI YA KIMAENDELEO

Mkurugenzi Mtendaji wa Ecobank Tanzania, James Cantamantu-Koomson (wa pili kushoto), akisisitiza jambo kwa waandishi wa Habari,Dar es Salaam jana, kuhusu mkakati wa kimaendeleo na ukuaji kwa benki hiyo hapa nchini. Kushoto ni Mkuu wa Bidhaa za Kibenki na Masoko, Ndabu Swere, Kulia ni Mkuu wa Maswala ya Ndani ya Benki (Domestic Banking), Joyce Malai na Mkuu wa Maswala ya Kibenki (Corporate Banking), Linley Kapya.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA