MWINYI AZINDUA KITABU CHA JE TUMETAFAKARI NA KUJIULIZA?

Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Hassan Mwinyi akizindua kitabu kipya kiitwacho Je Tumetafakari na kujiuliza? kilichotungwa na jopo la Masheikh na Wanazuoni wa Kiisalam Tanzania.Anayeshuhudia uzinduzi huo uliofanyika, Dar es Salaam leo, ni Mwenyekiti wa jopo hilo, Sheikh Shariff Hussein. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Baadhi ya wajumbe wa jopo lililoshiriki kutunga kitabu hicho wakiomba dua wakati wa hafla hiyo
Ali Hassan Mwinyi akiingia kwenye Ukumbi wa Arnatouglo, Mnazi Mmoja, kuzinduz kitabu hicho.
Alhaji Ali Hassan Mwinyi akikaribishwa na Mshauri wa Taasisi ya Masheikh na Wanazuaoni wa Kiislamu Tanzania, Idd Mohamed Simba.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA