NEMBO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU

Nembo Rasmi ya Kuadhmisha Miaka 50 ya Uhuru wa nchi yetu. Nembo hiyo ndiyo iliyopitishwa Rasmi na Kamati ya Taifa ya Madhimisho hayo chini ya Katibu Mkuu Kiongozi. Nashauri kuwa kwa sababu shughuli za miaka 50 zitakuwa nyingi katika wiki na miezi michache ijayo na kwa ajili ya uniformity na kwenda pamoja sote tutumie nembo hiyo kwa kadri inavyowezekana. Nawashukuruni nyote na jioni njema.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA