AJALI MBAYA YA LORI DAR

Wakazi wa Jiji wakichota mafuta ya dizeli yaliyomwagika kutoka kwenye lori lenye tela namba T 922 ACF lililotengana na kichwa chake katika ajali iliyotokea wakati dereva wa lori hilo akilikwepa lori lingine lililomchomekea kwa mbele juzi alfajiri karibu na Tabata Relini, Dar es Salaam. Dereva alijeruhiwa mkono na kukimbizwa hospitali kwa matibabu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Wakazi wa Jiji wakiangalia kichwa cha lori kilichotengana na tela lake namba T 922 ACF katika ajali iliyotokea wakati dreva wa lori hilo akilikwepa lori lingine lililomchomekea kwa mbele juzi alfajiri karibu na Tabata Relini, Dar es Salaam. Dereva alijeruhiwa mkono na kukimbizwa hospitali kwa matibabu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA