TIMES RADIO FM YAWA KINARA KWA KUSIKILIZWA NA WENGI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa akielezea historia na mafanikio ya kituo hicho, wakati wa hafla ya kukitambulisha upya kituo hicho, Dar es Salaam .Kituo hicho kilichoanzishwa mwaka 2000, hivi sasa kinaongoza kusikilizwa na watu wengi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, SihabaNkinga akihutubia kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo, Emmanuel Nchimbi, wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa (katikati), akiwa na aliyemwakilisha mgeni rasmi, Sihaba Nkinga (wa pili kulia) pamoja na baadhi ya wageni waalikwa.

Mmoja wa watangazaji wa Times Radio FM, Ali Masoud 'Kipanya' akiongoza hafla hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Times Radio FM, Rehule Nyaulawa (kulia) akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga baada ya hafla hiyo kumalizika.
Mtangazaji wa TIME FM, Scolastica Mazula (kulia) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, Dar es Salaam.



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI