TWANGA YAFANYA KWELI UINGEREZA


Bendi ya The African Stars ikitumbuiza wakati wa hafla hiyo, jijini London.

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe akihutubia wakati wa uzinduzi sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Uingereza mwishoni mwa wiki.

Mpiga ngoma wa Twanga Pepepeta, akifanya vitu vyake katika shoo hiyo ya kukata na shoka jijini London.
Wapenzi wa muziki, wakiburudika vilivyo na muziki uliokuwa ukiporomoshwa na Bendi ya The African Stars (Twanga Pepeta) wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara jijini London, Uingereza mwishoni mwa wiki. (PICHA ZOTE NA BLOGU YA JAMII)
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe (aliyevaa kaunda suti katikati) na mkewe , Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Agrey Mwanry (wa tatu kulia waliosimama) na Mwenyekiti wa CCM Uingereza, Maina Owino wakiwa katika picha ya pamoja na wanamuziki wa bendi ya Twanga Pepeta.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI