MVUNGI ASHAMBULIA WANAHABARI KUHUSU SAKATA LAO NA KAFULILA

Mkuu wa Idara ya Katiba, Sheria na Haki za Binadamu wa NCCR-Mageuzi, Sengondo Mvungi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, ambapo alilalamikia vyombo vya habari kwamba viliandika visivyo uamuzi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, kuhusu shauri la Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila alilolipeleka mahakamani kuomba zuio la hatua zilizochukuliwa dhidi yake na chama hicho. Kushoto ni Martine Juju, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho.
Orodha ya Viongozi waliowahi kuwa wenyeviti wa chama hicho
Orodha ya waliowahi kuwa makatibu wa chama hicho

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA