WAKIANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA, MBOZI

Wazazi,walezi na wanafunzi wa shule mbalimbali zilizoko Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Mbeya, wakiangalia matokea ya wanafunzi wa darasa la saba yaliyotangazwa na Serikali juzi, kama walivyonaswa na kamera yetu wilayani humo . Shule ya Msingi ya Uwata iliyopo jijini Mbeya imeshika nafasi ya kwanza kimkoa na ya mwisho ni Shule ya Msingi Masanyika iliyopo wilayani Mbozi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA