SHUHUDIA MAMBO ZAIDI AJALI YABASI LA MORO BEST MOROGORO


BAADHI YA MAJERUHI WA BASI LA MORO BEST KATIKA PICHA TOFAUTI.



BAADA YA KUTOKEA AJALI HEKA HEKA ZA KUJIOKOA NA KUOKOA ZILIKUWA HIVI.

HAPA WASAMALIA WEMA WAKIMTOA BIBI NDANI LA BASI HILO LA MORO BEST BAADA YA KUTOKEA AJALI YA KUACHA NJIA NA KUPUNDUKA ENEO HILO LA NERO MIKESE MOROGORO.

HUYU DADA ALIPITIA DIRISHANI BAADA YA KUVUNJWA KIOO ILI ABIRIA WAPATE NAFASI YA KUTOKA KTK BASI HILO KWANI INGEWEZA KUTOA DHAHAMA NYINGINE YA HITILAFU YA UMEME NA BASI KUAKA MOTO.

IDADI ILIONGEZA KWA ABIRIA HAO KUTOKEA KATIKA KIO BAADA YA KUHARIBIKA WAKITOKEA NDANI YA BASI HILO.
WASAMARIA WEMA WAKIMTOA MMOJA WA ABIRIA KATIKA AJALI HIYO KWENYE TUNDU LA KUINGIZIA HEWA NDANI YA BASI HILO AMBAZO KUNA SEHEMU MBILI TU.

HAPA BAADHI YA ABIRIA KATIKA AJALI YA BASI LA MORO BEST WAKITOKA KWA MBELE YA KIO HICHO IKIWA NJIAMOJAWAPO YA KUJINUSURU BAADA YA BASI HILO KUPATA AJALI. (picha zote kwa hisani ya blog ya mtanda)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA