ACHA SHERIA MKONONI KAKA, HAYA TWENDE KITUONI.


Askari kanzu wa jeshi la polisi Manispaa ya Morogoro wakiwa
wamemdhibiti kijana anyedaiwa kuwa ni mwanajeshi baada ya kudaiwa kumpiga kichwa kijana ambaye alkivaa nguo zinazofanana na mavazi ya jeshi katika eneo la stendi
kuu ya daladala ziendazo nje ya mji huo na wananchi kuanza kumzengea ili wamtwange kabla ya kuokolewa na askari hao na kupelekwa kituo kikuu
cha polisi kati mkoani hapa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda