AIRTEL YATOA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARY 4 MKOA WA MANYARA

Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Yaeda Ampa Mary Genda na wanafunzi wa shule hiyo wakipokea vitabu toka kwa Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde vilivyotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa shule za sekondari nne za mkoa wa Manyara ambazo ni Yaeda Ampa, Yaeda Chii , Naberera na Merelani B.w Mkapa chini ya mpango wake wa shule yetu halfa iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii
Afisa Mahusiano wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel ,Jane Matinde akikabidhi vitabu kwa Afisa Elimu sekondari wa wilaya ya Mbulu Mikaeli Hadu ,kwa niaba ya shule nne za sekondari zilizokabidhiwa vitabu hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni moja kwa kila shuke,shule hizo ni Yaeda Ampa, Yaeda Chii , Naberera na Merelani B.w Mkapa,Mkoani Manyara (katikati )ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw.Harry Sinjela
Wanafunzi , walimu ,wafanyakazi wa Airtel na viongozi mbalimbali wa halmashauri ya wilaya ya mbulu mkoani Manyara wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Airtel kukabithi vitabu kwa shule 4 za sekondari zilizopo mkoani hapa, kila shule imepata vitabu vya thamani ya shilling milioni moja. Walikaa kutoka kushoto ni Afisa wa uhusiano wa Airtel Jane Matinde Akifatiwa na kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya mbulu Bwana Harry Sinjela, Afisa Elimu sekondari wa wilaya ya Mbulu Mikaeli Hadu na diwani wa kata ya Yaeda Ampa Bw Marcel Malley

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*