AJALI MBAYA JANGWANI DAR

Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani (kushoto), akiwa amefika kwenye tukio la ajali ya gari namba T 992 ALB, lililoharibika vibaya baada ya kugonga nyuma ya daladala namba T 776 eneo la Jangwani, Dar es Salaam leo. Dereva wa gari hilo anayedaiwa kuwa alikuwa anaendesha kwa mwendo wa kasi, alijeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili kwa matibabu. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda