AJALI MBAYA YATOKEA MAHAFALI YA SEKONDARI YA KOROGWE, TANGA

Mpiga picha maarufu mkoani Tanga, Elias Mgole alimaarufu Ngoswe, akiwa kwenye Bajaj akipelekwa Hospitali ya Mangunga, baaja kujeruhiwa kwa kugongwa na gari namba T 489 AGJ, LILILOKUWA LINAENDESHWA NA Mwanafunzi wa kidato cha Sita Kibibi Mmasa, katika eneo la Mahafali ya Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Wasichana ya Korogwe, mjini Korogwe leo.
Mwanafunzi Kibibi Mmasa aliyekuwa anaendesha gari hilo, akiwa chini ya ulinzi wa Mkuu wa Wilaya hiyo baada ya ajali hiyo kutokea.
Majeruhi wakitibiwa katika Hospitali ya Magunga, Korogwe




Gari lilohusika katika ajali hiyo. (PICHA KWA HISANI YA MASHAKA MHANDO WA BLOGU YA JAMII

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda