BREAKING NEWS!!! ANGETILE OSIAH ALAZWA MUHIMBILI

Katibu Mkuu wa Shirkisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Osia amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam leo, kwa kusumbuliwa na shinikizo la damu.

Sisi wadau wako, tunakutakia matibabu mema na afya njema. Mungu awe nawe.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda