DK BILAL AZINDUA KAMBI YA VIJANA WAJASILIAMALI YA MKOA WA PWANI KIJIJI CHA MSOGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHBRA), Dkt.Simon Kintingu, kuhusu utengenezaji rahisi wa mabati ya Vigae, wakati Makamu alipofika kuzindua Kambi ya Vijana 400 Wajasiliamali walioanza kambi hiyo leo kwa lengo la kujifunza utengenezaji wa vigae na ujenzi wa nyumba za bei nafuu, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo Februari 03,2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifyatua tofali ikiwa ni ishara ya kuzindua raasmi mashine hizo za kufyatulia matofali ya bei nafuu na uzinduzi wa kambi ya Vijana 400 Wajasiliamali, wakati alipofika kuzindua kambi hiyo iliyopo Kijiji cha Msoga Mkoa wa Pwani, leo Januari 03, 2012 akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Pwani. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akiangalia na kusikiliza maelezo ya jinsi ya uandaaji wa tofali la bei nafuu kutoka kwa Fundi Sanifu Ujenzi, Husein Mataka,wakati alipofika kuzindua kambi ya Vijana 400 wajasiliamali iliyopo Kijiji cha Msoga Mkoa wa Pwani, leo Januari 03, 2012 akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Pwani. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.