DK BILALATEMBELEA MRADI WA UMWAGIALIAJI KISEGESE-RUNGWE

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea na kukagua mtaro wa kupitishia maji ya umwagiliaji katika Kilimo mradi uliopo katika Kijiji cha Kisegese, wakati akiwa katika siku yake ya mwisho ya ziara yake ya Mkoa wa Mbeya jana Februari 26, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la msingi katika chanzo cha mradi wa maji ya umwagiliaji katika Kijijji cha Kisegese, Wilaya ya Rungwe mtaro wenye urefu wa Kilomita 7, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Mbeya jana Februari 26, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, wakiangalia Mpunga katika eneo la Shamba Darasa, lililopo Kijiji cha Kisegese Wilaya ya Rungwe, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Mbeya, jana Februari 26, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Mkuki kutoka kwa mwakilishi wa Wazee wa Kabila la Wanyakyusa wa Kijiji cha Mbambo Wilaya ya Rungwe, Ambakisye Mwakatobe, ikiwa ni ishara ya kumkabidhi wadhfa wa kuwa Mzee wa Kabila la Wanyakyusa, wakati alipofika katika Kijiji hicho kuwahutubia akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Mbeya jana Februari 26, 2012. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU