DK. BILAL AZINDUA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME WILAYA YA MBINGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akibonyeza kitufye ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi mashine za kuzzalisha umeme, wakati alipotembelea katika mradi huo uliopo Wilayani Mbinga akiwa katika ziara yake ya moa wa Ruvuma, jana februari 16, 2012. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Tanesco, Eng. Boniface
Njombe. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipiga
picha ya kumbukumbu na Msanii Ofisa Utamaduni Mstaafu wa Wilaya ya mbinga, Benedict Maundi, baada ya kuzindua rasmi mitambo ya kuzalisha umeme na kuwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mbinga akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma, leo Februari 16, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal,
akipandda mti wa kumbukumbu baada ya kuzindua mashine za kuzalisha umeme Wilaya ya Mbinga,
wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Ruvuma jana Februari 16, 2012, ambapo pia alitembelea na kukagua mradi wa uchimbaji wa makaa ya mawe ya Ruanda. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipiga makofi mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika mradi wa mashine za kuzalisha umeme Wilayani Mbinga, wakati
akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma jana, februari 16, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka Jiwe la Msingi katika mradi wa mashine za kuzalisha umeme Wilayani Mbinga, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma jana, februari 16, 2012. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATEMBELEA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA MAKAA YA MAWE RUANDA (W) MBINGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya uchimbaji Makaa ya Mawe, Tancoal, Graeme Robertson, wakati alipotembelea mradi wa Uchimbaji Makaa ya Mawe unaoendelea eneo
la Ruanda Wilaya ya Mbinga, wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Ruvuma jana Februari
16, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

Wasifu wa Kizza Besigye

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA