HATIMAYE MR SUGU NA RUGE WA CLOUDS WAPATANISHWA

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Clouds Media Rugemalila wakipeana mikono leo Dar es Salaam, ikiwa ni ishara ya kupatana kuondoa tofauti zao zilizotokana na sababu za kimuziki zilizodumu kwa miaka miwili. Vijana hao wametanishwa na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA).
Waziri Nchimbi akizungumza katika mkutano huo
Ruge akizungumza katika mkutano huo na waandishi wa habari
Mbilinyi ('Sugu' akielezea furaha yake baada ya kupatanishwa na Ruge

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda