JK akutana na Naibu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Johnnie Carson na ujumbe wake leo Ikulu, Dar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake pamoja na waziri wa Nishati na Madini Mh Williuam Ngeleja walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2012
(PICHA NA IKULU)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda