JK AMJULIA HALI MKUU WA MAJESHI MSTAAFU, AKUTANA NA WAMACHINGA MWANZA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao leo January 6, 2012 walikwenda Ikulu ndogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete ametoa milioni 10 kwa ajili yawamachinga hao kukopeshana mitaji.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimjulia hali Jenerali Mstaafu Ernest Mwita Kyaro jijini Mwanza leo January 6, 2012. Jenerali Mstaafu Kyaro alikuwa Mkuu wa JWTZ katika serikali ya awamu ya kwanza

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda