JK,DK Bilal washuhudia uwekaji saini makubaliano ya ushirikiano kupambana na maharamia

Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali washuhudia awaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto)na wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi wakibadilishana nyaraka huku wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu akitazama baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao. (PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakishuhudia Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (kushoto), wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu wakitiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais Jakaya Kikwete akiongea huku Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiwa katika picha ya pamoja na na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu na wa Tanzania Dkt Hussein Mwinyi baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiongea na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*