KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA, MGANGA MKUU WA SERIKALI WASIMAMISHWA KAZI, MADAKTARI SASA KUPEWA POSHO, GREEN CARD

Capt;Baadhi ya madaktari na wauguzi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye Hospitali ya taifa ya Muhimbili, Februari 9, 2012.

Habari
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Brandina Nyoni na na Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Deo Mtasiwa wamesimamishwa kazi pupisha uchunguzi wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii. Waziri na Naibu Waziri wa wizara hiyo watashughulikiwa na rais, call allowances za madaktari bingwa ni 25000/= na madaktari wa kawaida ni 20000/=, madaktari watapewa nyumba na green card...kikao kinaendelea .


Madaktari wamekubali offers za serikali na wametoa mwezi mmoja kuona kama kweli serikali inatekeleza kwa dhati ahadi zake.Kesho wataingia kazini

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

Wasifu wa Kizza Besigye

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA