KUZIONA YANGA VS ZAMALEK SH. 3,000 HADI 50,000


VIINGILIO katika mechi ya ligi ya mabingwa Afrika baina ya Yanga na Zamalek ya Misri inayotarajiwa kufanyika Machi 18 mwaka huu vimepangwa kuwa shilingi 50,000 kwa viti maalum huku kiingilio cha chini shilingi 3,000.
Aidha viingilio vingine ni 7,000, 10,000, 15,000 na 30000.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda