MAKAMBA AIBUKIA KANISANI MAZIZINI

Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba akipiga mnada suruali wakati wa harambee ya kuchangia mradi wa ujenzi wa kisima cha maji katika Kanisa la Anglikana Parishi ya Mazizini, Ukonga, Dar es Salaam . Zaidi ya sh. milioni 6 zilichangwa ambapo yeye na familia yake walichanga sh. milioni 2.5.
Makamba akiwahamasisha wazee wa kanisa hilo kuchangia kwa moyo wote mradi huo wa kisima
Makamba akiwachangisha waumini wa kanisa hilo
Makamba akihubiri neno la Bwana kabla ya harambee
Wakifurahia muziki wa injili uliokuwa ukiporomoshwa wakati wa harambee hiyo
Moja ya kikundi cha kwaya kikitumbuiza
Msanii wa muziki anayechipukia, Fungo akifanya vitu vyake
Makamba katikati, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kanisa hilo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda