MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AMALIZA ZIARA YA MKOA WA RUVUMA ATUA MKOA WA KATAVI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Askofu wa Jimbo la Katoliki (W) Mbinga, John Ndimbo, wakati alipofika katika Kanisa Kuu la Katoliki Mtakatifu Kiliani, kwa ajili ya kufanya majumuisho baada ya kumazliza ziara yake ya mkoa huo jana Februari 17, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Katavi Mkoa wa katavi kwa ajili ya kuanza ziara yake ya siku tatu ya mkoa huo leo Februari 18, 2012. Kushoto ni Mkewe Mama Asha Bilal, na
(kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Eng. Stella Manyanya. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe
Mama Asha Bilal, wakifurahia ngoma ya asili ya Mkoa wa Rukwa, wakati walipowasili kwenye
Uwanja wa Ndege wa Katavi mkoani humo leo Februari 18, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu.Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI