Mapokezi ya waziri wa Zambia na balozi wa Congo mkoani Kigoma

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Bi. Terezya Huvisa pamoja na ujumbe kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Kigoma wakipokea wageni katika uwanja wa ndege wa Kigoma, ambao ni Waziri wa Elimu ya Msingi na Mazingira wa Zambia Prof. Nkandu Luo (wa pili kulia) na Balozi wa Congo Nchini Tanzania Bw.khalfan Juma Mpango (wa kwanza kushoto). Ugeni huo upo Nchi kuhudhuria Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika. (Picha na Ali Meja)
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Bi. Terezya Huvisa (wa pili kulia),Waziri wa Elimu ya Msingi na Mazingira wa Zambia Prof. Nkandu Luo(wa kwanza kulia) na Balozi wa Congo Nchini Tanzania Bw.khalfan Juma Mpango wakiangalia ngoma ya Warumba - mayanga, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mkoani kigoma. Ugeni huo upo Nchi kuhudhuria Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika. (Picha na Ali Meja)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda