MEMBE ALONGA NA WANAHABARI KUHUSU YALIYOJIRI MKUTANO WA AU

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mambo yaliyojiri wakati wa Mkutano wa Viongozi wa Umoja wa Afrika (AU), uliomalizika hivi karibuni jijini Addis Ababa, Ethiopia. Kulia ni Mkurugenzi wa Afrika wa wizara hiyo, Zuhura Bundara. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari.

Ofisa Habari wa Wizara hiyo, Patricia akimpiga picha picha Bosi wake Membe wakati wa mkutano huo.


Wanahabari wakiwa kazini

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda