MRUNDIKANO WA MABEHEWA BANDARI YA DAR ES SALAAM SASA ITAKUWA NI HISTORIA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (THA), Ephraim Mgawe (kulia) akimkabidhi Rais wa Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), Stephen Ngatunga hati ya makubaliano ya kusaidia kupunguza msongamano wa makontena katika bandari ya Dar es Salaam kwa kuyahamishia katika Bandari Kavu. Hafla hiyo ilifanyika eneo la Bandari hiyo leo, ambapo taasisi nyingine nne zilipata hati hizo. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Naibu Kamishna wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Patrick Kisaka (kushoto) akipokea hati hiyo.
Meneja Mwendeshaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage (1980) LTD, Ali Hussein Lilan akipokea hati hiyo kutoka kwa Mgawe.
Katibu Mkuu wa Mawakala wa Meli Tanzania (TASAA), Peter Kirigini (kushoto), akipokea hati
Baadhi ya wageni waalikwa wakishuhudia makabidhiano hayo
Viongozi hao wakitiliana saini mkataba huo
Wakitiliana saini mkataba huo
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya TICTS, Nathan Bissett akikabidhiwa hati ya makubaliano na Mkurugenzi Mkuu wa THA, Mgawe. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI