MTANANGE WA TAIFA STARS NA DRC CONGO

Mlinda mlango wa DRC Congo,Bolongo, akidaka mpira ulioelekezwa langoni kwake na wachezaji wa Taifa Stars, katika mechi ya kimataifa ya kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii
Mchezaji Issama Mpeko wa timu ya Taifa ya DRC Congo akijaribu kumtoka Mrisho Ngassa wa Taifa Stars katika mechi ya Kimataifa ya kirafiki, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Anayejiandaa kumsaidia Ngassa ni Stephen Mwasika.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda