MWANRI AKABIDHI RIPOTI YA ZIARA YAKE KWA RC IRINGA

Naibu waziri wa TAMISEMI Agrrey Mwanri (katikati) akikabidhi ripoti yake kwa mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christina Ishengoma kushoto na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Deo sanga kulia akishuhudia
RC Iringa akimkabidhi nakala ya ripoti ya Mwanri mkurugenzi wa Makete Imelda
Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba akipokea ripoti ya Mwanri kwa mkuu wa mkoa wa Iringa kushoto
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Evarista Kalalu Kulia akipokea ripoti hiyo ambayo inaonyesha wilaya yake ya Mufindi imefanya vizuri sana
DC Iringa Aseri Msangi akipokea ripoti kwa niaba ya wilaya ya Kilolo ambako Mhandisi wake amekalia kuti kavu. KWA HISANI YA BLOG YA FRANCIS GODWIN

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda