NHIF YAZINDUA MRADI WA MAMA MJAMZITO NA MTOTO MCHANGA MKOANI TANGA

Mkurugenzi Mkuu Emmanuel Humba akitoa maelezo ya Mradi kwa wadau mbalimbali wakiwemo wafadhili wa mradi huo ambao ni Benki ya Ujerumani (KfW)

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Chiku Galawa akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu, Humba, kushoto ni Mwakilishi wa KfW, Dk Kai Gesing.
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mdee akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Emanuel Humba kabla ya uzinduzi.
Akikabidhi kadi kwa akina mama wanaonufaika na mradi huo.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa akiangalia vitambulisho vilivyotolewa na NHIF akiwa na viongozi wa Mkoa wa Tanga na Mbeya ambako Mradi huu unatekelezwa pamoja na wafadhili wa mradi huo.
Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zipora (kulia) akipokea vitambulisho vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa niaba ya akinana wajawazito wilayani kwake.
Wadau wa Mradi huo wakifuatilia maelezo ya mradi huo wakati wa uzinduzi.

Akina mama wajawazito ambao tayari wameanza kunufaika na mradi huo kwa kupata matibabu kupitia Kitambulisho cha NHIF.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI