PINDA AENDELEA NA ZIARA BUKOMBE MKOANI SHINYANGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Masumbwe wilayani Bukombe akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 24, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mradi wa usambazaji maji safi katika mji mdogo wa Bukombe akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 26, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua asali iliyofungashwa kitalaam wakati alipowatembelea wafugaji wa nyuki katika Hifadhi ya Msitu wa Ushirombo wilayani Bukombe akiwa kayika ziara ya Mkoa wa Shjnyanga, Februari 24, 2010. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Nasoro Rufunga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua asali iliyofungashwa kitalaam wakati alipowatembelea wafugaji wa nyuki katika Hifadhi ya Msitu wa Ushirombo wilayani Bukombe akiwa kayika ziara ya Mkoa wa Shinyanga, Februari 24, 2010. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Maofisa wa Gereza la Kanegele wilayani Bukombe wakati alipokwenda kwenye gereza hilo kukagua uzalishaji wa mbegu za muhogo akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga, Februari 26, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda