Rais Jakaya Kikwete akizungumza na vyombo vya habari muda mfupi baada ya kufungua Mkutano wa mawaziri wa kilimo kutoka nchi saba za Afrika, Dar es Salaam jana, ili kuweka maazimio yatakayojadiliwa katika mkutano wa nchi zenye uchumi imara, G8 na mkutano wa uchumi wa Afrika. Mkutano wa G8 unatarajia kufanyikia Chicago nchini Marekani katikati ya mwaka huu.(Picha na Mohamed Mambo)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda