Libya imelalamika kwa Niger, juu ya matamshi ya mtoto wa kiume wa Muammar Gaddafi ambaye sasa anaishi uhamishoni nchini Niger.Alisema mapigano kadha yatazuka punde nchini Libya, na kwamba karibu kila siku anawasiliana na makundi ndani ya nchi.
Bwana Gaddafi, ambaye alikimbilia Niger baada ya serikali ya baba yake kupinduliwa Agosti mwaka jana, alisema anataraji kurudi Libya punde.
Comments