SIMBA YAIKUNG'UTA ORJORO 2-0

Mchezaji Haruna Moshi (kushoto) wa Simba, akichuana na Sunday Paul wa JKT Orjoro katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Haruna maarufu kwa jina la Boban alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Orjoro.
Kikosi cha Simba, kilichopambana na Orjoro leo. Simba imeshinda mabao 2-0
Kikosi cha Orjoro kilichochuana na Simba leo. Picha na Kamanda Mwaikenda

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda