Meza kuu kabla ya kuanza kikao
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili ukumbini kuzungumza na wabunge wa CCM katika kikao chake na wabunge hao kilichofanyika jana jioni Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.Wengine kutoka kushoto ni Spika wa Bunge Anne Makinda, Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama na Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa na Katibu Mkuu Wilson Mkama wakimsikiliza Mwenyekiti ya Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Peramiho, Mh Jenista Mhagama akiongea kabla ya kikao kuanza
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Wabunge wa CCM, katika kikao chake na wabunge hao jana katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.
Mbunge wa Simanjoro Ole Sendeka akitoa hoja zake katika kikao hicho.
Pia Said Mkub a akazungumza kwa kina kutoa mchango wake ili kuboresha mambo
Sehemu ya wabunge wa CCM
Wabunge wa CCM wakiwa mkutanoni White House
Mkutano ukiendelea.Picha na IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI