Uchaguzi kufanyika Jumapili, Senegal

Ndene N'Diaye, anasema uchaguzi mkuu utafayika nchini humo kama ulivyopangwa siku ya Jumapili.

Baadhi ya makundi ya upinzani yametoa wito uchaguzi huo uahirishwe na kuapa kuwa nchi hiyo haitakuwa na uongozi ikiwa Abdoulaye Wade mwenye umri wa miaka 85 atakataa kuanchia madaraka .

Wade anawania muhula wa tatu kuwa rais wa nchi hiyo, licha ya kwamba katiba ya sasa ya haimruhusu kufanya hivyo .

Rais wa zamani wa Nigeria , Olusegun Obasanjo, anakutana na viongozi wa upinzani akiwemo mwanamuziki Youssou N'Dour, kujaribu kutuliza mvutano wa kisiasa.

Youssou N'Dour amekatazwa kugombea wadhifa huo wa urais

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

Wasifu wa Kizza Besigye

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA