
Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania, Steve Kilindo kushoto), Meneja wa kinywaji cha Redds, Victoria Kimaro (kushoto) wakigongeana chupa cha kinywaji hicho, wakati wa uzinduzi wa udhamini wa mashindano ya urembo nchini ya Miss Tanzania, ambayo kuanzia jana sasa yataitwa Redd's Miss Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika usiku wa kuamki aleo kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)wa pamoja na warembo waki

Wakiangalia nembo mpya ya Redd's Miss Tanzania itakavyokuwa inaonekana

Baadhi ya wadau wakiwa katika hafla hiyo iliyonogeshwa na Bendi ya Tanzanites. Wa pili kulia ni Meneja Mauzo wa TBL Kanda ya Kusini, Bokela

Kilindo (mwenye shati jeupe) akimwaga kucheza muziki pamoja na warembo


Kilindo (kushoto) akiwa na warembo huku wakiwa na vinywaji Redds

Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo ya kukata na shoka

Viongozi wa kampuni ya Simu ya Zantel, wakifurahia jambo wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Awaich Mawalla ambaye ni Mkuu wa Bidhaa na Mawasiliano wa kampuni hiyo

Miss Tanzania 2011,Salha Israel (katikati) akiwa na baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Lino Iternational inayoaandaa mashindano hayo

Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Steve Kilindo akihutubia wakati wa uzinduzi wa udhamini huo

Mshereheshaji

Wanahabari nao wakifurahia jambo. Kutoka kulia ni Seleman Mbuguni wa Majira, Somoe Ng'itu wa Nipashe na Khadija Kalili wa Tanzania Daima

Mkurugenzi wa Kianda cha Konyagi Tanzania, David Mgwassa (wa pili kulia) akiwa na baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Kushoto ni Steven Kilindo.

Mkurugenzi wa Kianda cha Konyagi Tanzania, David Mgwassa (kushoto) akizungumza na kiongozi mwenzie

Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo
Comments