WAKULIMA WA MULEBA WALIPOKWENDA KUJIFUNZA KILIMO UGANDA

ZIARA YA WAKULIMA WA WILAYA YA MULEBA NCHINI UGANDA;yenye lengo la kuwafundisha wakulima mbinu mbalimbali za kilimo bora na ufugaji.

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni (aliyevaa pama), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, na Mbunge wa Muleba Kusini, Anna Tibaijuka, Mh Massawe, Mh. Rwekiza Mbunge wa Bukoba Vijijini katika picha ya pamoja na Wakulima walioalikwa Nyumbani kwa
Museveni Mbalala kwa lengo la kujivunza mbinu za kilimo cha kisasa na Ufugaji
Kutoka kushoto ni Mkazi na mkulima wa Muleba katikati ni Mh. Waziri Mama Tibaijuka wa mwisho ni mwakilishi wa shirika la makazi la umoja wa mataifa(UN HABITAT)na aliyesimama nyuma ni meneja wa Vision Fm Radio ya mjini hapa Bi Matrida Leopord.

Wakulima wa Muleba mkoani Kagera wakielekea kutoa zawadi zao kwa Rais wa Uganda Mh. Museveni.
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akitoa hotuba fupi kwa waalikwa mbele ya vyombo mbalimbali vya habari ikiwepo Radio Vision, Tbc na Tbc.kushoto ni Mtangaji na meneja wa Vision Fm Radio ya mjini hapa Bi Matrida Leopard.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda