WAZIRI AVAMIA MKUTANO WA WAPENZI WA JINSIA MOJA

Waziri mmoja nchini Uganda amevamia warsha ya wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja na kujaribu kumkamata mwandaaji wa shughuli hiyo, limesema gazeti moja la huko na pia kundi la wanaharakati wa haki za binaadam waishio Uingereza.

Waziri wa Maadili na Hadhi Simon Lokodo amesema mkutano huo ni "haramu" na kuamrisha wajumbe wake kutoka nje ya hoteli karibu na mji mkuu Kampala.

Muswada huo unapendekeza kuongeza adhabu nchini Uganda kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja, ambavyo ni kinyume cha sheria, kutoka kwenda jela miaka 14 hadi kifungo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda