Mwenyekiti wa Taasisi wa Usambazaji wa Vifaa vya Maabara ya Merck ya Ujerumani, Dk. Karl -Ludwig Kley (kulia), akimkabidhi vifaa vya maabara ndogo, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda, katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam leo. Vifaa hivyo ambavyo vina uwezo wa kugundua dawa feki na kupima virusi vya Ukimwi (VVU) vitasambazwa mikoani.Katikati ni Balozi wa Ujerumani nchini, Klaus-Peter Brandes.

Comments