Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akitoa maelezo ya kazi baada ya kukagua chanzo cha maji - Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugezi wa Manispaa ya Kigoma Bw. Protus Kato juu ya jitihada zinazofanywa na Manispaa hiyo kukusanya taka katika soko la Nazareti. Waziri Huvisa alifanya ziara ya kushtukiza katika Manispaa hiyo kuangalia hifadhi ya Mazingira.Picha na Ali Meja

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda