WENGI WAJITOKEZA KUMJULIA HALI ANGETILE OSIAH WA TFF, MUHIMBILI DAR

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Osiah (kulia), akizungumza na Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mkajanga (kushoto) na Mkurugenzi wa Utawala na Uanachama wa TFF, Mtemi Ramadhan (wa pili kushoto aliyezibwa) waliokwenda kumjulia hali mchana huu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dar es Salaam, ambako amelazwa kwa kusumbuliwa na uvimve kichwani uliozungukwa na maji. (PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA)
Baadhi ya Ndugu, jamaa na marafiki wakimjulia hali Angetile Osiah. Kulia ni mke wa Angetile, Rose Mwakasege.


Angetile akiwa na mwanwe, Sharoti aliyekwenda kumjulia hali babake
Angetile akiwa na familia yake. Kutoka kushoto ni Angetile JR, MKEWE Rose Mwakasege na Sharoti
Watanzazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Jane John na Philipo Cyprian wakimhoji Angetile.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

Wasifu wa Kizza Besigye

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA