YANGA,ZAMALEK HAKUNA MBABE

Mashabiki wa Yanga wakishangilia bao la kuongoza dhidi ya Zamalek ya Misri katika michuano ya Kombe la Mabingwa Afrika leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1
Wana Yanga wakiwa wamepagawa kwa furaha baada ya Hamis Kiiza kufunga bao la kuongoza dhidi ya Zamalek ya Misri
Wapenzi wa Simba wakiwa wameduwaa baada ya Yanga kuifunga bao la kuongoza dhidi ya Zamalek ya Misri waliyokuwa wakiishangilia huku wakiwa wamevalia jezi za timu hiyo ya misri
Hamis Kiiza wa Yanga akiwa na furaha baada ya kufunga bao la kuongoza dhidi ya Zamalek ya Misri
Kiiza akinyanyuliwa alipokuwa akishangilia na kuanguka chini kwa furaha
Wachezaji wa Yanga wakijaribu kumkaba mchezaji wa Zamalek katika mtanange huo
Msela akiwauzia mashabiki wa Simba, jezi ya timu ya Zamalek. PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

Wasifu wa Kizza Besigye

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA