ZIARA YA DK BILAL MKOANI PWANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea na kukagua jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati akimalizia ziara yake ya
Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012. Kushoto ni Dkt. Isaack Lwali (wa pili
kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Elimu Kibaha, Dkt. Cyprian Mpemba. Picha na
Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikagua jengo la Taasisi ya utafiti wa maradhi ya Malaria, baada ya kuzindua jengo hilo wakati
akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani jana Februari 03, 2012. Picha
na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungno wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Dkt. Isaack Lwali (wa pili kulia) wakati alipotembelea na
kukagua ujenzi wa Jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati akiwa katika ziara yake ya
Wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Elimu Kibaha, Dkt. Cyprian Mpemba. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganon wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea na kukagua ndani ya jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati alipokuwa katika
ziara yake ya Wialaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012.Picha na Muhidin
Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(katikati)akikata utepe kuzindua Kituo cha Taasisi ya utafiti wa maradhi ya Malaria
kilichopo Bagamoyo, wakati alipokuwa katika ziara yake ya Wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani jana Februari 03, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA