Wananchi wakiwa wamekaa kistaarbu huku wakimsikiliza kwa makini mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika jana kijiji cha Reguruki, jimbon humo
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, ...
๐ ๐ฎ๐ธ๐ฎ๐ฏ๐ถ๐น๐ฎ 10 ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐๐ผ ๐๐ธ๐ถ๐ธ๐ฎ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐ป๐ฎ๐ผ, ๐ธ๐๐๐ผ๐ฏ๐ผ๐ฎ ๐ธ๐๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ฟ๐ฎ๐ต๐ถ๐๐ถ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ ⚠️ Kumbuka: Haya ni maoni na mitazamo ya kijamii tu, si kwamba kabila fulani lina mafanikio kuliko lingine. Mafanikio yanategemea juhudi, elimu, nidhamu na fursa. 1. Wasukuma Wana sifa ya kufanya kazi kwa bidii, hasa kwenye kilimo, ufugaji na biashara. Wengi huaminika kuwa wavumilivu katika kutafuta maendeleo. 2. Wachagga Hujulikana kwa moyo wa biashara, uwekezaji na kusaidiana kifamilia katika shughuli za maendeleo. 3. Wahaya Wana historia ndefu ya biashara, elimu na shughuli za uzalishaji zinazochochea maendeleo. 4. Wanyakyusa Wengi wanasifiwa kwa bidii katika biashara, kilimo na uwekezaji wa muda mrefu. 5. Wakinga Hujulikana kwa uchapakazi, nidhamu na uthubutu wa kutafuta fursa sehemu mbalimbali za nchi. 6. Waha Wana sifa ya kujituma katika biashara na shughuli mbalimbali za kiuchumi. 7. Wapare Mara nyingi husifiwa kwa kuthamini elimu, kazi na mipango y...
RAIS wa klabu ya Yanga Injinia Hersi SAID amethibitisha kuwa mdhamini na mfadhili wa Klabu yetu, Ghalib Said Mohammed (GSM) ameridhia kushiriki kufanikisha ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Young Africans Sports Club, katika eneo la Makao Makuu ya Klabu yetu, Jangwani, Jijini Dar Es Salaam. Injinia Hersi ameyasema hayo leo Februari 11, 2024 Mkoani Mbeya kwenye sherehe za miaka 89 za kuzaliwa kwa Klabu hiyo kongwe na yenye mafaniko zaidi nchini Tanzania. “Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na mdhamini na mfadhili wa Klabu yetu, Ghalib Said Mohammed (GSM), nipende kuwataarifu Wanachama na Mashabiki wa Klabu yetu kuwa leo, GSM ameridhia kwa dhati kushiriki kwenye kufanikisha ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Young Africans Sports Club, katika eneo la Makao Makuu ya Klabu yetu, Jangwani, Jijini Dar Es Salaam.” Injinia Hersi “Nichukue fursa hii kumshukuru sana GSM kwa dhamira hiyo inayokwenda kutimiza ndoto ya Uongozi wangu, Kamati ya Utendaji na Wanachama na Mashabiki wa Young Africans kwa ku...
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa Yanga kwa siku ya pili leo wameendelea na mgomo kufanya mazoezi wakishinikiza walipwe mishahara yao ya Novemba. Ni wachezaji wawili tu walioonekana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam asubuhi ya leo, kipa Ally Mustafa ‘Barthez’ na beki Oscar Joshua. Zaidi ya hapo walitokea makocha tu, George Lwandamina na Wasaidizi wake, Noel Mwandila Mzambia mwenzake na wazalendo, Juma Mwambusi, kocha wa makipa Juma Pondamali, Meneja Hafidh Saleh, Daktari Edward Bavu, Mchua Misuli Jacob Onyango na Mtunza Vifaa Mohammed Omar ‘Mpogolo’. Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit alifika Uwanja wa Uhuru na kukutana na hali hiyo ya kushangaza na akaenda kuzungumza na Lwandamina baadaye Mwambusi na Hafidh. Baada ya hapo wote wakaondoka na leo asubuhi mazoezi hayakufanyika Yanga. Mgomo huo ulianza ghafla jana baada ya wachezaji kufika Uwanja wa Uhuru jioni, lakini wakagoma kuingia uwanjani kufanya mazoezi. Uongozi wa Yanga umekanusha kuwapo kwa madai ya...
Balozi wa China nchini Tanzania Chen Mingjian akilakiwa kwa bashasha na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) wa Mkoa huo, Dkt. Neema Majule alipowasili katika Shule ya Rhema eneo la Mlimwa kwa ajili ya kukabidhi msaada wa cherehani 120 kwa wanawake wa Dodoma Mei 27, 2026. Balozi huyo pamoja na ujumbe wake wameonesha kufurahishwa na mapokezi hayo yaliyohanikizwa na wanafunzi, walimu na baadhi ya wanawake wa mkoa huo waliokuwa wakipeperusha bendera za Taifa za China na Tanzania pamoja na ngoma ya asili ya kabila la wagogo iliyokuwa ikichezwa na wanafunzi wa shule hiyo. Balozi Mingjian na Dkt. Majule wametiliana saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya wanawake wa China na wanawake wa Mkoa wa Dodoma. Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Balozi Mingjian ameusifu ushirikiano wa kihistoria uliopo baina ya China na Tanzania. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma, Dkt. Neema Majule ameitaka Serikali kuweka mkakati wa kusaidia wahitimu wa vyuo kutumia vyeti vyao kama dhamana kupata mikopo ya kuanzisha miradi ya uwekezaji. Mahoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Mei 21,2026.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (katikati), akimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Godfrey Kasekenya (Mb) (kulia) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma, ambao unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika mwezi Septemba mwaka huu, hatua inayotarajiwa kuimarisha usafiri wa anga na kulipa hadhi zaidi jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya nchi. Wengine katika picha ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour (wa pili kulia) Na Benny Mwaipaja, Dodoma Serikali imesema kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika ndani ya mwezi Septemba mwaka huu, hatua inayotarajiwa kuimarisha usafiri wa anga na kulipa hadhi zaidi jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya nchi. Akizungumza wakati alipotembelea na kuona maendeleo ya mradi huo, Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), alisema uje...
Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said ๐น๐ฟ, ameonyesha dhamira kubwa ya kuendelea kujifunza baada ya kuamua kurejea darasani kuongeza elimu zaidi kwa ajili ya kuimarisha uwezo wake wa kiuongozi na miradi anayoisimamia sasa pamoja na ile inayokuja. Inaelezwa kuwa Eng. Hersi Said amejiunga na moja ya taasisi kubwa za elimu nchini Uingereza, inayojulikana kama University of Oxford, hatua inayotafsiriwa kama jitihada za kujiongezea maarifa kwa maendeleo makubwa zaidi ya baadaye. Mashabiki wengi wa Yanga SC wamepokea hatua hiyo kwa furaha, wakiamini elimu hiyo itaongeza mchango mkubwa katika maendeleo ya klabu na miradi yake ya kimkakati. #KipengaSportUPDATES
Image copyright BBC World Service Image caption Besigye anawania urais kwa mara ya nne Kanali (Mstaafu) Dkt Kizza Besigye Kifeefe alizaliwa mwaka 1956 katika wilaya ya Rukungiri, magharibi mwa Uganda. Besigye alifuzu kama daktari baada ya kusomea Chuo Kikuu cha Makerere, mjini Kampala. Alijiunga na chama cha Museveni cha Uganda Patriotic Movement muda mfupi baada ya kuondolewa madarakani kwa Idi Amin 1978. Mwaka 1982, alijiunga na Museveni vitani baada ya kuzuiliwa miezi miwili katika hoteli moja mjini Kampala akituhumiwa kushirikiana na waasi. Baada ya Museveni kuingia uongozini, alimteua Dkt Besigye, wakati huo akiwa na umri wa miaka 29, kuwa waziri wa nchi aliyesimamia masuala ya ndani na masuala ya siasa za taifa. Dkt Besigye alipanda cheo jeshini na kufikia cheo cha kanali. Alistaafu muda mfupi kabla ya uchaguzi mkuu wa 2001, miezi michache kabla ya kujitokeza na kutangaza kwamba angewania urais. Image copyright AFP Image caption Besigye aliwahi kukimbilia uhami...
Pacome Zouzoua alizaliwa tar 30 April 1997 nchini Ivory Coast ktk kitongoji cha Port. Hadi sasa ana umri wa miaka 26, ni kiungo wa kati mwenye uwezo wa kipekee anayetumia zaidi mguu wa kulia ktk kazi yake ya mpira. Alijiunga na Yanga tar 19 - 7 - 2023 majira ya saa 5 usiku akitokea ktk Club ya Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast. Ni mchezaji mkakamavu mwenye wepesi miguuni anapokuwana mpira, hujituma sana awapo uwanjani na inavyosemekana ni tofauti sana na awapo ktk mazoezi ya kujiandaa na mechi, lakini siku za mechi kila mara amekuwa moto zaidi nakuwa mkombozi kwa timu kwa kuinasua kimatokeo. Nitaendelea kumpatia maua yake siku zote atakazokuwa ndani ya Young African Sports Club. Pacome Zouzoua anaujuaaaaa.
Comments