IGO YADHAMINI MAONESHO YA SIKU YA TAALUMA KWA VYUO VYA ELIMU

Wanafunzi wa Chuo Cha Usimamizi wa Fedha IFM wakiwa kwenye mavazi rasmi ya kazi wakati wa maadhimisho ya Taaluma ya Chuo hicho ambayo huwakutanusha na wataalamu na wadau wa huduma za kifedha kwenye maonyesho yanayofanyka kwenye viwanja vya Makumbusho jirani na Chuo hicho Chini ya Udhamini wa kampuni ya Tigo.
Hawa ni wataalam wa masuala ya bima wa chuo hicho.



Tigo ambao ndio wadhamini wakuu wa maonyesho hayo walishiriki kikamilifu kwa kuweka mabanda yao.
Makamu Mwenyekiti wa bodi ya Chuo Cha Usimamizi wa Fedha IFM Charles Nyoni, akikata utepe kuzindua maonyesho ya Siku ya Taaluma kwa chuo hicho kwenye viwanja vya Makumbusho kuu ya taifa jijini Dar es Salaam jana ambayo huwakutanisha wadau wa taasisi za kifedha na wanachuo ilikuona wanvyofanya masomo yao kwa vitendo, wapili kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Prof.Daniel Mjema.

Mabanda ya tigo nayo yalifurika wateja kupata huduma za papo kwa papo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA