KWELI KAZI YA UPIGAJI PICHA ZA HABARI SI LELEMAMA

 Mpigapicha wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo, Bashir Nkoromo, akiwa makini kupata matukio katika mkutano wa waandishi wa habari na uongozi wa Kasmpuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt, kutangaza  tuzo za 'Exel with Grand Malt"  kwa wanafunzi wa elimu ya juu ikiwa ni mara ya pili kwa tuzo hizo kutolewa ambapo jumla ya sh. milioni 500 zimetengwa kuwazawadia watakaoshinda. Picha zote na kamanda mwaikenda



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA